Naomba ufafanuzi

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
244
46
Wana jf, naomba mnisaidie ufafanuzi wa neno KARAMU na KALAMU. Kwa kweli maneno haya yananichanganya sana.
 

klf

Member
Jun 12, 2009
58
11
Karamu: vyakula na vinywaji vinavyoandaliwa kwa shughuli maalum (Kamusi Tuki)
Kalamu: kifaa kinachtumiwa kuandikia kwenye karatasi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom