Kayola2016
New Member
- Jul 22, 2016
- 2
- 0
Nilihitimu kidato cha nne 2007 na nikapata four ya 26...lakini ckufanya chemia na phizikia....nataka kufanya masomo hayo mwakani ili nisome diploma ya uuguzi.je hayo natakiwa kufanya masomo mangapi kwa mujibu wa sheria...na je cheti chake kinaunganishwa na kile cha kwanza au kinakuwa peke yake...na kama kinakuwa peke yake ninavyoomba naunhanisha vyote??
AKSANTENI!
AKSANTENI!