kwa ufahamu wangu mimi, NBMM/NBAA pale sio njia ya kupita, Ni bora uende ukasome chuo tu. kwasababu wanafunzi wengi wanaoenda hapo NBAA ni wale ambao tayari wana degree na wanatafuta kusomea, kufanya mitihani na kupata cheti cha certified public accounts CPA ambacho ni cheti muhimu sana kwa wahasibu. Kwa nilivyosikia kutoka kwa wadau wa accounts ni kwamba ukiwa na CPA hukosi kazi bank yeyote hapa Bongo.