Naomba ufafanuzi kuhusu Masters in international business-UDSM

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
19,904
30,417
Habari za mchana wakuu kama kuna mtu anaifahamu course hii inayotolewa pale university of dar es salaam anisaidie kama hii course ni full time au ni part time (evening) pekee....... maana prospectus haipo specific ahsante
 
Kama umewahi soma hapo nenda ila kama ulizoea vyuo vya Kata bora hiyo ada ukafanye biashara, Shule imegeuzwa hapo kuwa mapambano ya kijeshi only the fittest will survive, Kwa aliyewahi soma huko udbs kisaikolojia anajizira kwanza halafu unatamka liwalo na liwe hapo utasoma
 
Ndugu unajua unachoongea au ndiyo walewale wa kuishi na tambo za vyuo!!
 
Kama umewahi soma hapo nenda ila kama ulizoea vyuo vya Kata bora hiyo ada ukafanye biashara, Shule imegeuzwa hapo kuwa mapambano ya kijeshi only the fittest will survive, Kwa aliyewahi soma huko udbs kisaikolojia anajizira kwanza halafu unatamka liwalo na liwe hapo utasoma
Kivp mkuu nipe dondoo maana bachelors nmefanya makerere univeristy business school nakawa..........
 
Back
Top Bottom