Requirements ipoje na je ina mkopo %ngp vp kuhusu ajira yake
Mkuu Msabila aliwapiga Com 564 kweli???Points kuanzia 4:5 ila lakini ni lazima uexceed point zaidi ya hizo ili kuendana na competition iliyopo kwa sasa.
Mkopo ni non-priority so kuhusu mkopo ni very complication.
Points kuanzia 4:5 ila lakini ni lazima uexceed point zaidi ya hizo ili kuendana na competition iliyopo kwa sasa.
Mkopo ni non-priority so kuhusu mkopo ni very complication.
vipi art wanaruhusiwa kusoma hiyo course?
shukran mkuu,
1) umesema mkopo kwenye hiyo kozi inasumbua ni kwa waliomaliza Adv na kozi za arts au mpka sayansi eg. PCB NA CBG etc.
2) Na kuhusu waliotoka diploma kozi za afya wenye GPA nzuri mkopo huwa wanapatiwa asilimia mia wanapojiendeleza kwenye kada hiyo inakuwaje kwenye hiyo kozi ya HSM?
3) Nnapenda kufahamu hiyo kozi mnapo hitimu munakuwa na kazi zipi kwenye kada ya afya na mnafanya kazi vitengo gani kwenye sekta ya afya?
4) soko la ajira kwa ujumla kwenye kozi hiyo pia huwa wanatumia mfumo gani kuajiriwa maana sijawahi kusikia ajira zikitangazwa kwenye sekta ya afya inayo husisha hiyo kozi.
5) Mwisho napenda unifahamishe mazingira ya hapo mzumbe kwenye kusoma hiyo kozi mf. Wakufunzi wa masomo husika etc.
Shukran mkuu kwa moyo wa kujitolea kutuelimisha naamin ukinijibu maswali yangu utakuwa umewasaidia wengi sana.

vp mkuu umegaili kusoma RURAL AND DEVELOPMENT?
nahitaji kujua ada ya mzumbe kwa ngazi degree
Wadau mdogo wangu kasoma hkl na kafaulu vizur kwa distinction na amechagua kozi tajwa hapo juu. Vip si kuna uwezekano wa kupata? Na vip kuhusu soko la ajira?
Hiyo 4:5 hawaregard masomo ya science or art?