Naomba ufafanuzi kuhusu kampuni ya Confidential

Israel

Senior Member
Apr 9, 2012
170
39
Habari Wakuu.Tafadhali naomba mtu anijuze kwa habari ya kampuni inayoitwa Confidential, ipo Dodoma. Naomba anijuze kuhusu maslahi yako,tamaduni zoa na kama anafaham taarifa za kazi zao,wamiliki n.k.

Ahsanteni
 
Confidential tutajua kweli mambo yao?

Umeombwa hela nini upewe majibu ya interview mkuu.
 
Habari Wakuu.Tafadhali naomba mtu anijuze kwa habari ya kampuni inayoitwa Confidential,ipo Dodoma.naomba anijuze kuhusu maslahi yako,tamaduni zoa na kama anafaham taarifa za kazi zao,wamiliki n.k.
Ahsanteni
Kwani simu yako unaitumia kuingia JF tu?
 
JF shida sana. Mtu unaweza tukanwa hata na mwanao walahi.

Haya bwana Israeli nimeshashika adabu. Nakutakia mafanikio mema na kampuni ya Confidential
Bwana mdogo anasema shika adabu wakati ndo ajira yake ya kwanza.
 
Hivi ukisoma tu huu uzi wako tangu comment ya kwanza hadi ya mwisho unashindwa kabisa kuona nani ana matatizo ya akili kati yangu na wewe? Kweli kabisa?
Jamii forum ni sehemu ya ustaharabu na ambayo nilishawahi kuitumia kupata msaada na taarifa sahihi,sasa niliulizwa swali kiungwana kwa maana ya kwamba mtu mwenye taarifa ya hapo angalinipa lakini wengine wanajib masihara.Ndio maana nikasema jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom