Naomba Ufafanuzi kuhusu ili la WI-FI

Naomba Ufafanuzi kuhusu ili la WI-FI

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,927
Wapendwa Katika Bwana Natumaini leo jumapili ipo njema kwenu,

Swali langu lipo hivi, WI-FI ni mpaka umbali gani ukifika kama ulikuwa unaitumia inaacha kusoma kwenye internet ya simu yako, nasemea ile ya bure iwe ofisini, chuoni au hospital n.k
 
Inategemea na uwezo wa transmitter, Ila nyingi za kawaida katika mazingira yasio na vizuizi vingi ni Mita 50 kushuka
 
Back
Top Bottom