Naomba ufafanuzi kuhusu huu wizi wa Escrow 320 Billion

Paima

Member
Oct 13, 2012
71
125
Mimi sijaelewa vizuri kuhusu wizi huu kwani tuliambiwa hela za Escrow zilikuwa 320 billion, Mkombozi zikatolewa 3.3billion na stanbic zikatolewa kwa viroba 70 billion. Je zilizobaki 246.7 bllion zilienda wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom