Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Kikubwa ambacho nilitegemea ukiseme ni Compactness na Rigidness! Speed and Form factor!Kwanza tuelewe zote ni storage. Tofauti ya yake kubwa ipo katika reading of data. Hard disk yenyewe ina disk kwa ndani ambayo inatumia teknolojia ya magnet kuread and write data. Hii disk inakuwa inazunguka kwa kasi sana ili data zisome kwa kasi zaidi. Kukosa kasi kwenye mzunguko wa disk ndivyo inavyokuwa slow kwenye reading ya data.
Kwa upande wa solid state disk yenyewe haina disk kwa ndani ndio maana inaitwa solid state. Kwa maana iyo ssd inatengenezwa katika sysytem ambayo infanyakazi bila kuwa na spin disk au magnet ili kuread and write data.
Kwa upande wa size ya disk zote mbili ni sawa kabisa. Yaani ukiwa na data za gb128 kwenye magnet disk ni sawa na za kwenye solid state disk.
N. B: tofauti ya ufanyaji kazi kati ya zote mbili ambapo ssd ni fasta sana ndio imeleta utofauti wa bei. Yaani ikiwa utacopy data za gb128 kwa pamoja kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na ikiwa sehemu unazopeleka moja ni ssd na nyingine ni hdd basi mwenye ssd atamaliza mapema zaidi wakati wa hdd akiendelea kusubiri imalize.
.....mtanisamehe kwa uandishi mbovu kwa ambao hamtaweza kuelewa.....
Rigidness:
Kinachofanya bei ya Solid state iwe juu ni kwamba yenyewe haiko fragile kama hard disc kwa maana usalama wake pamoja na data ulizohifadhi uko juu hata ukiangusha computer bahati mbaya sio HDD kuharibika!
Compactness:
Solid state drive ni ndogo kwa umbo, mfano halisi ni kama memory card ilivyo. Hii inawezesha kutengeneza laptop ambazo ziko more portable ama zile viwembe nyembamba sana!
Speed
Speed yake huwa ni kubwa compared to hard drive. This means the read and write speeds!
Form factor:
Solid state does not involve moving parts like Hard Disk Drives! This saves a lot in power consumption sababu mzunguko wa hard disc kwa muda mrefu pamoja na fan ya computer unachangia sana ulaji wa charge kwenye mashine! Solid state haitumii umeme mwingi kama Hard disk technological wise!
Hizi ndio sababu kuu za SSD kuwa bei juu kuliko HDD