Naomba ufafanuzi kuhusu hili la SSD katika Computer

chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Habari wanJF,

Nimekuwa nikishagazwa sana na bei ya SSD na ukubwa wake maana nyingi ninazoziona ni GB150 mpaka GB25.

Ila bei yake imechangamka sana je! matumizi yake yapoje au hazijai mapema kama HDD maana naona zina spec ndogo sana
 
Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
417
250
Solid state disk ni storage yenye tecnology mpya kwa mfano ina speed kubwa katika kuaccess data na kuready izo data compare na harddisk pia ina shape ndogo compare na harddisk ila kwenye kujaa haraka inategemeana na data zako sio storage tena
 
diwani tajiri

Member
Oct 14, 2017
93
150
Kwanza tuelewe zote ni storage. Tofauti ya yake kubwa ipo katika reading of data. Hard disk yenyewe ina disk kwa ndani ambayo inatumia teknolojia ya magnet kuread and write data. Hii disk inakuwa inazunguka kwa kasi sana ili data zisome kwa kasi zaidi. Kukosa kasi kwenye mzunguko wa disk ndivyo inavyokuwa slow kwenye reading ya data.

Kwa upande wa solid state disk yenyewe haina disk kwa ndani ndio maana inaitwa solid state. Kwa maana iyo ssd inatengenezwa katika sysytem ambayo infanyakazi bila kuwa na spin disk au magnet ili kuread and write data.

Kwa upande wa size ya disk zote mbili ni sawa kabisa. Yaani ukiwa na data za gb128 kwenye magnet disk ni sawa na za kwenye solid state disk.

N. B: tofauti ya ufanyaji kazi kati ya zote mbili ambapo ssd ni fasta sana ndio imeleta utofauti wa bei. Yaani ikiwa utacopy data za gb128 kwa pamoja kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na ikiwa sehemu unazopeleka moja ni ssd na nyingine ni hdd basi mwenye ssd atamaliza mapema zaidi wakati wa hdd akiendelea kusubiri imalize.

.....mtanisamehe kwa uandishi mbovu kwa ambao hamtaweza kuelewa.....
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,548
2,000
Size ya data ni sawa, tofauti ni spidi ya kusoma hizo data. Ukiwa na SSD utaona tofauti kubwa, hata ukifungua software nzito haichukui muda kufunguka.
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
Kwanza tuelewe zote ni storage. Tofauti ya yake kubwa ipo katika reading of data. Hard disk yenyewe ina disk kwa ndani ambayo inatumia teknolojia ya magnet kuread and write data. Hii disk inakuwa inazunguka kwa kasi sana ili data zisome kwa kasi zaidi. Kukosa kasi kwenye mzunguko wa disk ndivyo inavyokuwa slow kwenye reading ya data.

Kwa upande wa solid state disk yenyewe haina disk kwa ndani ndio maana inaitwa solid state. Kwa maana iyo ssd inatengenezwa katika sysytem ambayo infanyakazi bila kuwa na spin disk au magnet ili kuread and write data.

Kwa upande wa size ya disk zote mbili ni sawa kabisa. Yaani ukiwa na data za gb128 kwenye magnet disk ni sawa na za kwenye solid state disk.

N. B: tofauti ya ufanyaji kazi kati ya zote mbili ambapo ssd ni fasta sana ndio imeleta utofauti wa bei. Yaani ikiwa utacopy data za gb128 kwa pamoja kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine na ikiwa sehemu unazopeleka moja ni ssd na nyingine ni hdd basi mwenye ssd atamaliza mapema zaidi wakati wa hdd akiendelea kusubiri imalize.

.....mtanisamehe kwa uandishi mbovu kwa ambao hamtaweza kuelewa.....
oky nimewaelewa mkuu kwaiyo kinachomaniisha apo utofaut ni speed tu nazan cio
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195
swali jingne kwa watalaam wa graphics card hiz gtx 750ti na radeam 2gb amd kuna utofauti hapa maana wengi wamekuwa wakisema amd zinakula sana umeme kupita hiz nvidia wakuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom