DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 382
- 259
Habari zenu wanaJF
Naomba kujua kuhusu utekelezaji wa adhabu waliopewa waliokuwa mawaziri Basil Mramba na wenzie.
Adhabu hiyo bado inaendelea? Au ndio basi imekwisha?
Kwani walitakiwa kufanya ili adhabu kwa muda gani?
Kama wanaendelea kufanya wanafanya kila siku au siku maalum tu? Kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi wanakuwa eneo lao la kazi?
Kama kwa siku maalum je nisiku gani wanakuwa pale Hospital ya Sinza Palestina?
Wanaripoti kwa nani wanapokuwa wanakwenda eneo la kazi ya jamii?
Je? Kuna sheria inayowaruhusu kubadilishiwa eneo la kazi au kusamehewa adhabu hiyo kimya kimya, bila kuripotiwa kwa jamii?
Huu ni mjadala