Naomba ufafanuzi juu ya hili suala tata kwangu

Kama uliyenyandua anao, subiri miezi mitatu uende ukacheki afya. Uwezekani wa kuambukizwa ni 65%
 
Kama yapi na unazitumia kwa mda gani
Nenda kituo cha afya kabla ya masaa72 kupita toka ufanye tendo unalohisi ni "hatarishi" watakupa maelezo..

Maluweluwe yake aisee acha tu unakua kama umechizi kabisa yani unaweza kuwa unaota mavitu ya ajabu ajabu ila uko macho
 
Poa
 
Back
Top Bottom