Umenitusi...!Chukuwa hilo vumbi ulisemalo, changanya na maji halafu lifinyange finyange mbele ya mama'ko halafu sauti itayotoka hapo muulize mama'ko kama hiyo sauti inafanana na ile iliyokuwa inatoka wakati yeye na baba'ko wanakutengeneza au la?
Ukipata jibu liwe ni siri yako.
Umenitusi...!
Mjadala hauwezi kunishinda hata kidogo... Embu fanya kujiuliza hilo swali uliloniuliza mie uone kama inapendeza kwa mtu mzima kama wewe kuongea hivyo?!Umeshindwa mjadala. Kaa pembeni.
Mjadala hauwezi kunishinda hata kidogo... Embu fanya kujiuliza hilo swali uliloniuliza mie uone kama inapendeza kwa mtu mzima kama wewe kuongea hivyo?!
Nakuheshimu sana ila kwa maneno yako ya leo heshima yangu kwako imepotea.
Siwezi kuendelea na huu mjadala wakati umenitukania wazazi wangu...!Lete jibu ya hilo swali nililokuuliza, kama huwezi, kaa pembeni mjadala umekushinda.
Na shukuru sana sijalelewa kutukana watu walionizidi umri.!
Hata development ya embryo inapita stage za organisms mbalimbaliNaomba nikurekebishe
Huyo uliye mpoint mwishoni si nyani kwa hiyo naye hayupo.
Binadamu, sokwe, nyani, orangtun nk. Walitokana na kiumbe mmoja ambaye hakuwa both of them ila alikuwa na some characters ambazo ziko kwa wote.
Evolution haitokei kwa mtu mmoja ndio maana usichukue hiyo picha tu ukadhani ndio evolution, kutoka Kwa huyo wa mwisho mpaka wa pili kutoka mwisho ni vizazai kwa vizazi yaan millions of years hao viumbe wengine hawawezi kuwepo kwani ndio walikuja kuwa extinct baada ya kuwa na mabadailiko.
Sisi na nyani ni familia tofauti zenye chimbuko moja, ila siyo familia moja.
Scientific theory - WikipediaHuna jipya, mjadala umekushinda unasingizia matusi. Kwenye sayansi hakuna tusi.
Scientific theory - Wikipedia
Pitia kwanza hapa ujue nini maana ya theory as a scientific theory na sio theory zako za humanitia..
Kwanini mkuuHii discussion imekwisha haribiwa
Si unaona matusi, dhihaka na imani? Hivyo vikisha ingia, basi, mjadala unapoteza mwelekeo!Kwanini mkuu
Pata darsa:
Despite having its roots in ancient Greece, the theory of evolution was first brought to the attention of the scientific world in the nineteenth century. The most thoroughly considered view of evolution was expressed by the French biologist Jean-Baptiste Lamarck, in his Zoological Philosophy (1809). Lamarck thought that all living things were endowed with a vital force that drove them to evolve toward greater complexity. He also thought that organisms could pass on to their offspring traits acquired during their lifetimes. As an example of this line of reasoning, Lamarck suggested that the long neck of the giraffe evolved when a short-necked ancestor took to browsing on the leaves of trees instead of on grass.
This evolutionary model of Lamarck's was invalidated by the discovery of the laws of genetic inheritance. In the middle of the twentieth century, the discovery of the structure of DNA revealed that the nuclei of the cells of living organisms possess very special genetic information, and that this information could not be altered by "acquired traits." In other words, during its lifetime, even though a giraffe managed to make its neck a few centimeters longer by extending its neck to upper branches, this trait would not pass to its offspring. In brief, the Lamarckian view was simply refuted by scientific findings, and went down in history as a flawed assumption.
However, the evolutionary theory formulated by another natural scientist who lived a couple of generations after Lamarck proved to be more influential. This natural scientist was Charles Robert Darwin, and the theory he formulated is known as "Darwinism."...
haaahaa sio mfuasi wa upande huo. What im saying is that we were created by God. Kuamini kuwa tumetokana na nyani through evolution ni sawa na sawa na kuamini mlima kilimanjaro uligunduliwa na mzungu na hali wachaga walikuwepo.Kwamba mtu wa kwanza alitokana na mavumbi akatolewa mbavu moja akatokea mwanamke then nyoka aongeae akamrubuni huyo mwanamke akasababisha sote tuliofata tuwe na original sin.. Hata mungu akamtia mimba mwanamke ili amzae (huyo huyo mungu), ajitoe sadaka ili atuokoe na original sin aliyotupatia yeye mwenyewe to begin with! Then unasema it makes a lot of sense..?! [emoji53]
Mbona huyo Homo Sapiens Sapiens (A perfect hunan) ndo mzungu
Swali lingine linaibuka hapo hapo, je evolution imeacha kutokea (imekoma)Extinct, just like dinosaurs and many other creatures.
Evolution is the way in which living things gradually change and develop over time (Cambridge Online Dictionery).Swali lingine linaibuka hapo hapo, je evolution imeacha kutokea (imekoma)
So,if evolution is the continuous process are there next species after homosapiens?Evolution is the way in which living things gradually change and develop over time (Cambridge Online Dictionery).
Kwa maana hiyo, evolution jaiwezi kukoma kama kuna viumbe ambao bado wanaishi. Ila ni slow process Hundreds of thousand years kuona mabadiliko.
View attachment 430209