hiyo nayo inaongelea Origin of man?
Hata theory of evolution ina ukweli isome utaijua tu.Theories nyingi sana zina ukweli. Soma kijana utazijuwa tu, mfano "Theory of human rights".
Hata theory of evolution ina ukweli isome utaijua tu.
bibi povu lote la nini, si ujibu swali tu au una comment wakati kuna kitu umeshika?Katazame swali lako, ujione ulivyo punguani. Kwani uliuliza theory y ukweli au theory ya "origin of man"?
Ni punguani tu ataeuliza kuhusu "origin of man", huwa hatutazami ujinga huo, tunatazama "origin of human kind".
Upo hapo ulipo?
Nimeisoma sana tena sana haina ukweli wowote. To me its simply bogus.
Kama ni kwako sawa, una haki ya kuwa na mtazamo wako
Kwangu mimi, bado hujasoma vya kutosha ndio maana unaona ni bogus theory, kasome zaidi
Hapo sasa nimekusoma mkuuDaah
Nimejitahidi kukuelekeza vizuri kweli yaan halafu hujanisoma.
Maana yangu ni kuwa yupo wa kwanza tuu ambaye ndio sisi, hata huyo wa mwisho hayupo. Yaan sisi ni end product ya huo mchakato, halafu wewe unaulizia raw materials zilipo.
Jibu lake ni kuwa huyo wa mwisho si nyani, kwa hiyo naye hayupo. Na hisia zangu najua umefananisha huyo wa mwisho na nyani hawa unao waona siku hizi, jambo ambalo umekosea.
Ndio nika malizia kwa kusema, hao viumbe wengine wote nyuma, walipotea waka develop na kuwa huyo wa mwanzo.
Kama nimekuelewa vibaya nipo tayari kwa masahihisho
Kwa maoni yako unadhani hii theory ina ukweli kiasi ganiThe theory of evolution is simply a "theory" and unfortunately it's a bogus theory.
Inaonesha wewe umesoma sana kupindukia ndiyo maana "theory" unaikubali kuwa ni ukweli bila hata kujuwa maana ya theory ni nini..
Jifunze maana ya theory kabla hujaaandika utumbo. For your own good, elewa kuwa theory is simply a supposition and it is not a proven fact.
Kwa maoni yako unadhani hii theory ina ukweli kiasi gani
Una maneno makali!! Eti utumbo!
Evolution ni scientific theory, sasa unajua wewe vigezo vinavo fanya kitu kiitwe scientifc theory!!?
Lazima iwe na vitu vifuatavyo
1.Itumie scientifc methods
2. Repeatedly tested and confirmed
3. Lazima itumie protocal of observation (written and practical)
4. Lazima iwe imefanyiwa experiment.
Kwa taarifa yako hiyo ndio scientific theory. Na evolutuin theory imepitia hatua zote hizo.
Najua wewe ni mtaalam wa lugha, unaijua "theory" kama msamiati tuu, this is science mama!, kila kitu kina vigezo vyake.
Haya acha kuandika utumbo, nenda kasome evolution tena.
Science haiwi ukweli mpaka iwe proven. Who has proven the evolution "theory" to be a scientific fact?
Kuamini hiyo theory ndiyo maana wazungu wanawaita Waafrika masokwe halafu mnakasirika, kama unaiamini ukiitwa sokwe usikasirike hata kidogo.
Kwamba mtu wa kwanza alitokana na mavumbi akatolewa mbavu moja akatokea mwanamke then nyoka aongeae akamrubuni huyo mwanamke akasababisha sote tuliofata tuwe na original sin.. Hata mungu akamtia mimba mwanamke ili amzae (huyo huyo mungu), ajitoe sadaka ili atuokoe na original sin aliyotupatia yeye mwenyewe to begin with! Then unasema it makes a lot of sense..?! [emoji53]That tells how wrong the theory is. Kuna millions za nyani na milions za wanadamu na hakuna hao waliobakia. Nadhani dini zetu zinaeleza uhalisia zaidi
UNESCO, NAS (za nchi zote) zina ukubali kama theory ya ki sayansi ambayo orgin yake iko kwenye field ya biology.
Mi napinga ubaguzi, na sidhani kama evolution ndio sababu hasa ya sisi kubaguliwa. Na wao hutuita nyani, kitu ambacho siyo kweli kwani sisi si nyani (monkey)
Sokwe (Ape) kwenye evolution ni jamii inayo include binadamu (wote), kwa kuwa sisi na Gorilla, Great apes, Bonobo, Orangutan n.k sote tumetokana na ancestor mmoja. Ukiitwa sokwe ni sayansi na kila bindamu ni sokwe, ila ukiitwa nyani ni ubaguzi na tusi kubwa sana.
Kwamba mtu wa kwanza alitokana na mavumbi akatolewa mbavu moja akatokea mwanamke then nyoka aongeae akamrubuni huyo mwanamke akasababisha sote tuliofata tuwe na original sin.. Hata mungu akamtia mimba mwanamke ili amzae (huyo huyo mungu), ajitoe sadaka ili atuokoe na original sin aliyotupatia yeye mwenyewe to begin with! Then unasema it makes a lot of sense..?! [emoji53]