Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 178
- 149
Habari wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikapata changamoto ya kutofautisha kati ya torque na horsepower. Katika jitihada zangu za kusoma nimeelewa kwa sehemu kidogo lakini kuna jambo linanichanganya kuhusu concept hiyo ambayo imenipelekea kuja kuuliza swali humu.
Taking a case study of an IC engine:
Kwanini at a certain rpm na torque huongezeka kulingana na rpm. Lakini rpm ikizidi kuongezeka kuna point inafikia horsepower/torque inapungua.
Kwanini horsepower na torque zisiongezeke sambamba na rpm.
Ni kitu gani kinaifanya horsepower na torque visiwe constantly increasing na rpm?
Naomba kuwasilisha!!