Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
Bado anafundishika,ukishindwa mrudishe kituoni.
Nakubaliana na wewe mkuu,Mtoto anajaribu kutafuta attention kwasababu anaona hatopata mapenzi ka mwanzo! toccara inabidi uwe unaweka muda private hata ukishajifungua ili muspend time ww na huyo mtoto wa kiume ili asijione kama ametengwa kwasababu familia imeongezeka.Kuna uwezekano pia huyo mtoto anapitia "DEFIANCE AGE".inawezekana kabisa ni njia ya kutafuta attention kutoka kwako hasa baada ya hao watoto wapya kuingia katika familia. Wataalamu wanashauri kuwaandaa watoto kabla ya wadogo zao hawajazaliwa na wategemee mabadiliko gani baada ya wadogo zao kuzaliwa na kuwa part ya familia. Mtoto wangu wa kwanza alibadilika ghafla baada ya mdogo wake kuzaliwa, alimpiga na kumfinya mdogo wake na alikuwa na miaka miwili na miezi kadhaa. hebu fikiria mtoto wa miaka sita atafanya nini atakapoona nafasi yake imechukuliwa tena na viwatu ambavyo hajawahi kuvisikia.
soma hiyo link inaweza kusaidia personally the information did help me.
Preparing your child for a new sibling: Overview | BabyCenter
Kwanza hongera una moyo tofauti na nlodhani.!2 ni vyema uwe na ukaribu zaidi na yeye ukimfundsha na kumeelekeza huo ni utoto tuu and if possible jaribu kutokumuonesha njia yoyote ike ya kumuonea au vip..! Mpende na kumuelekeza na kumuomba Mola amrekebshe