Kwa mtaji huu kama yuko serious baada ya miaka 4 yuko tajiriAsante. Kaniambia anataka aanze na 20 M. Yuko interested na vyote,ila alitaka afanye kimoja tu kati ya kilimo au ufugaji. Anaishi Morogoro kama Km 10 nje ya mji.
Utakuwa ni wewe mkuu. Anaitwa nani vile huyo ndugu yako?Naomba tumpe hiyo njia. Nipe ushauri wako mkuu.
Ana afya njema tuu. Kastaafu kwa hiari at 55. Na anao mtaji nilioutaja. Hayuko decided afanye kilimo au ufugaji! Kwa nia ya kumsaidia,ajielekeze wapi,na ikibidi unaweza kumpa mchanganuo wa utakachomshauri. Asante.Ufugaji au ukulima unataka eneo kwanza. Anatakiwa ajue anataka kufanya shughuli hiyo katika ukubwa gani? Sio kusema tuu 20m mtaji huku hajui kwa level gani anayotaka. Kama amestaafu kiserikali nazan atakuwa na zaidi ya 55years. Hebu akupe taarifa zilizoshiba harafu uje tena.
Moro sehemu gani mkuu? Mm nalima moro kijiji cha mbigiliAsante. Kaniambia anataka aanze na 20 M. Yuko interested na vyote,ila alitaka afanye kimoja tu kati ya kilimo au ufugaji. Anaishi Morogoro kama Km 10 nje ya mji.
Yawezekana ndiyo maana hataki kufanya makosa ya nyuma kwa kuomba ushauri. Ameona ameingia kwenye fainali,asifanye masihara. Ninashukuru kwa ushauri. Nitamjulisha,nakupa feedback karibuni. Thanks.Sasa kama ana 55 hadi Leo hana hata eka 5. Kijana hebu mwambie anunue kwanza shamba la eka 10 hapa Moro akipata anitafte nimpe somo la ufugaji.
Yani namkaribisha aje alime kule napolima mm nitamsaidia kutafuta shamba zuri mbegu nzuri na nitasimamia shamba lake kama yeye hatoweza kukaa shambani then mambo mengine tutaelewanaAsante. Nitamwuliza kama atataka ushirika au independent project.
Mm namshauri alimeKwa hiyo wazo unalompa,alime na asifuge?
Mrejesho: Baada ya kuwasiliana naye,kasema kabla hajaomba msaada kwangu,alikuwa tayari kaonyeshwa eneo la ekari 8 alinunue. Amesita kulinunua kwa vile hajajishauri vya kutosha alime au afuge! Aliambiwa bei ni 5 M. Na ameona bora apate ushauri wa kutosha kabla. Hii ina maana yuko tayari kupokea ushauri wako!Sasa kama ana 55 hadi Leo hana hata eka 5. Kijana hebu mwambie anunue kwanza shamba la eka 10 hapa Moro akipata anitafte nimpe somo la ufugaji.