mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
maana yake ni kwamba, wanawake mpo wengi. unamtaka wa peke yako, wenzako nao watakula wapi?! hebu acheni uchoyo nyie kina dada. kizuri kula na nduguyo!
Sasa mbona hayo yote yanakumbukwa baada ya kupata mshiko kwann kwahy pesa kwenu ni tatizo
Maana yake ni, pesa ni adui wa haki.
Sasa mbona hayo yote yanakumbukwa baada ya kupata mshiko kwann kwahy pesa kwenu ni tatizo
Hujui au kusudi ...???
Ndio tabia zao hao.
Sasa mbona hayo yote yanakumbukwa baada ya kupata mshiko kwann kwahy pesa kwenu ni tatizo
Hujui au kusudi ...???
Wahenga walisema, Mchumia juani, hulia kivulini, ni hilo tu... au umesahau?Lakini cha kushangaza Siku akipata tu anageuka na kuongeza Nyumba ndogo na wengine hutoweka kabisa hii maana yako nini jamani.