WAKUONDOKA
Member
- Oct 8, 2014
- 46
- 24
Una maana gani mkuu inamana kama kila m1 ukweli ukiwa ndani yake maana yake ukweli wa jumla/waziwazi/au ukweli wa uma,haupo?Ukweli upo ndani yako
Mkuu apo umenitoa tongotongo kwa kiasi kikubwa tuu thanxkuna Truth na fact
hivi vitu lazima uvitofautishe kabla haujaanza kuchambua.
ndio maana wasocialist wanamsemo seek truth from facts.
ukimaliza hapo liingie suala la IMANI/FAITH na sio BELIEF.
Ukweli kwa maana Ya TRUTH, kila mtu huwa ni mkweli,
Ila kwa maana ya FACT hapo ni evidence based. Na vitu hivi viwili vinakuwa processed sehemu mbili tofauti kabisa katika Ubongo(Subconcious na concious mind)
Habari zenu waungwana,
Naomba mchango wa mawazo yenu kwanza mnisaidie kujua
1.UKWELI ni nn?
2.Tunajuaje kwamba hili jambo ni kweli kbsa?
3.Je tuna uhakika gani kinachozungumzwa ni kweli na..
•vyombo vya habari,
•vitabu vya dini,
•wale tunaowaamini
•Wale wanaosema wanakupenda ?
Mtume Paulo(kwa wale wakristo) alipata kusema 'Imani ni bayana ya mambo yasioonekana ni hakika ya mambo yatarajiwayo' kauli iyo bado inasadiki ukweli ni yy mwenyewe anaeujua.
Yesu pia alipata kusema 'mimi ndio njia ya uzima na kweli' hata kwa kauli bado inabeba madhila ya ukweli juu ya mzungumzaji mwenyewe.
Naomba mchango wenu wa mawazo hapo ili nipate kupata afya ya maarifa zaidi.
••••••••••••••nawasilisha hoja•••••••••••
Pata habari,gather info n facts then drop the conclusion ili kung'amua ukweli.
Yawezekana ukaambiwa "mtoto uliyenae sio damu yako"
Gather facts;
Utaanza na kuangalia tabia za mwanao ukilinganisha na zako na mama yake
Then utamuuliza mkeo juu ya ilo swala.
Mwisho kabisa utachukua vipimo vya DNA ambavyo vitakusaidia kudrop the conclusion.
ukimaanisha?Ukweli ni wenye kupelekea katika uongofu wa kila jambo.
Wakati tunasoma tuambiwa Objective truth kuwa sayari ziko 9. Sasa hivi tunaambiwa ziko more than 9. Hivyo objective or scientific truth sio THE TRUTH. Ukweli anaujua yule aiyeuumba. Kuna vitu ambavyo tulijidanganya with some current 'facts' ndio tukauita absolute truth.Ukweli (truth) ni hakika ya jambo fulani ambalo linaweza kuwa sahihi au la,
Ikumbukwe kuwa ukweli(truth) umegawanyika sehemu kuu mbili:-
1. Ukweli kama ulivyo (objective truth), hii ni aina ya ukweli ambayo huwakilisha uhalisia wa jambo husika bila kuhusisha mitazamo (opinions) na hisia za watu, mara nyingi huu ukweli ndio hubeba maana halisi na thamani ya kitu kilivyo hivyo "ukweli kama ulivyo" uko katika vipimo vya kiasi na idadi (quantitative measurements) mfano watu 20, kalamu moja n.k
2. Ukweli kama unavyoonekana (subjective truth) huu ni ukweli ambao huwasilishwa na mtu kwa kuzingatia hisia na maoni bonafsi (opinions). Ukweli huu huwakilisha viwango vya ubora (qualitative measurements), mfano uzuri (beauty and aesthetics) uko machoni pa mtazamaji na hauwezi ukapimwa kwa vizio vyovyote vya kiasi.
Pia jiulize kuwa je kila uzungumzacho ni kile unachokiwaza? Na kama sivyo basi ukweli ni vigumu kuufikia. Ikumbukwe kuwa binadam huwasilisha taarifa kwa kutumia lugha iliyoundwa na maneno, hivyo wazo lililo akilini ndio MWAKILISHWA, lakini lugha au maneno ndio MWAKILISHI, je, mwakilishi anaweza kuwa sawa na mwakilishwa?
Dhana ya ukweli ni tata sana ndio maana hata taarifa au tukio moja linaweza kuripotiwa tofauti na hatimae kuondoa maana halisi hivyo ukweli kupotea,
Mfano, wewe uko Dar es salaam na una marafiki zako wako Singida (eneo moja) ukawapigia simu, mmoja akasema ni baridi sana lakini mwingine akasema kuna joto sana, je yupi ndio atakuwa anasema ukweli?
**Nawasilisha hii itakupa taswira na mwanga juu ya dhana ya ukweli**
Pata habari,gather info n facts then drop the conclusion ili kung'amua ukweli.
Yawezekana ukaambiwa "mtoto uliyenae sio damu yako"
Gather facts;
Utaanza na kuangalia tabia za mwanao ukilinganisha na zako na mama yake
Then utamuuliza mkeo juu ya ilo swala.
Mwisho kabisa utachukua vipimo vya DNA ambavyo vitakusaidia kudrop the conclusion.
Namaanisha ukiwa mkweli daima utapata mafanikio hapa duniani na mbinguniukimaanisha?
sawasawa,nimekuelewa. asanteNamaanisha ukiwa mkweli daima utapata mafanikio hapa duniani na mbinguni