kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Kama alipakia pikipiki kwenye buti mbona buti halikuungua? Je kifaa cha zimamoto wanacholazimisha tuwe nacho kingezima moto huo?
Kumbuka hapo magari yamegongana inamaanisha tayari abiria wote walikuwa majerui hivyo hata kama kuna kifaa cha kuzimia moto ni nani angekichukua na kuuzima moto huo?