Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,688
- 8,927
Watu wanaisifu sana UDSM kwamba ni chuo bora wakati ni chuo ambacho kimezalisha graduate wa PhD ambaye hata kuongea kiingereza ni majanga wakati huohuo watu wenye UMBILIKIMO wa mawazo wanakisifia kila kukichaifike sehem UDOM wajitambue na waombe msaada wa kuboresha quality ya elimu wanayo toa, kwa sasa ni majanga matupu……...oval!
Wewe tatizo huelewi utofauti wa mtu anayesomea sayansi na anayesomea art, hivi mfano mtu amesomea bachelor ya MATHEMATICS, unategemea aanze kujifunza kiingereza wakati anasomea ku solve mahesabu, acha dharau zako kwanza hata walimu wako pia wamesomea UDSM, kwa hiyo nao unawazarauWatu wanaisifu sana UDSM kwamba ni chuo bora wakati ni chuo ambacho kimezalisha graduate wa PhD ambaye hata kuongea kiingereza ni majanga wakati huohuo watu wenye UMBILIKIMO wa mawazo wanakisifia kila kukicha
Walimu wa UDOM wote wamesomea UDSM, Walimu wako wote wamesomea UDSM, walimu wa walimu wako wamesomea UDSM, walimu wa wazazi wako nao wamesomea UDSM, viongozi wote wa serikali wamesomea UDSM, UDSM huwezi kuilinganisha na UDOM, UDSM inajulikana dunia nzimaHabarini.
Naombeni mnipe tofauti ya Degree ya Bsc in COMPUTER SCIENCE inayofundishwa Udsm na Udom
Fanya utafiti kwanza. Si UDSM wala UDOM muhimu ni mwanafunzi una mentality gani. Kuna vilaza wingi tunao mtaani toka UDSM hawajui hata mising ya coding na wamesoma Computer Science
Umefanya utafiti wa College of Informatics?ifike sehem UDOM wajitambue na waombe msaada wa kuboresha quality ya elimu wanayo toa, kwa sasa ni majanga matupu……...oval!
Acha uongo dogo, hivi kati ya UDOM NA UDSM ni chuo gani kinachukua vipanga form six? Yaani mtu apate div one kali alafu aende UDOM? Labda achaguliwe bahati mbayaFanya utafiti kwanza. Si UDSM wala UDOM muhimu ni mwanafunzi una mentality gani. Kuna vilaza wingi tunao mtaani toka UDSM hawajui hata mising ya coding na wamesoma Computer Science
Sent using Jamii Forums mobile app
Informatics informatics dogo acha kulinganisha UDSM na UDOM mkuu wa college ya informatics kasoma chuo gani, ??
Walimu wote wazawa UDOM kwenye hiyo college unayo isema wametokea wamesomae na wametokea UDSM
Eti vipanga!Acha uongo dogo, hivi kati ya UDOM NA UDSM ni chuo gani kinachukua vipanga form six, ?? Yaani mtu apate div one kali alafu aende UDOM ?? Labda achaguliwe bahati mbaya