Naomba tips za kurepresent Concept note

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
habari wanajf! Kwa mwenye uzoefu na maswala ya presentation za research proposals, nimekuwa shortlisted katika scholarship fulani hivi ambayo niliaply, Sasa nimetakiwa nikapresent na kudefend concept note ambayo niliituma wakati wa application, sijawahi kufanya hii kitu sasa nlitaka wazowefu wanipe brief ya tukio Zima linavokuwa, na hasa upande wa discussions, ni maswali gani nitarajie kuvaa siku hvo, ahsante
 
Kuna jamaa mmoja(Mtanzania) huwa anaongelea sana kuhusu Scholarship ukimuuliza anaweza kukusaidia. Mcheki YouTube search SCHOLARSHIP IN NORWAY(Utampata ni jamaa mnene mwenye manywele afu mweusi, jina limenitoka). Pia hata humu JF ukisearch masuala ya Scholarship utapata thread zake.
 
Back
Top Bottom