Naomba tanzania ya viwanda

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Mheshimiwa raisi kwa tanzania ya miundo mbinu zikikamilika reli za umeme na viwanja vya ndege pamoja na bandari utakuwa umefanikiwa.

Lakini hili la viwanda liongezee mkazo.

Mikoa na miji mikubwa kama Mbeya,Arusha,Dar,Mwanza,Tanga na Mtwara nilisikia tu ahadi kuna viwanda vinajengwa ila naona kimya.


Naomba ongeza nguvu pia hapa
 
In short huyu mtu hakujiandaa kushika madaraka ndio maana hana working plan and strategies anaenda tu kama dereva wa lori
 
Barabara za majiji uliyoyataja zote ni mbovu cha ajabu ni zile za mjini
 
Back
Top Bottom