C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,965 Mar 28, 2020 #1 Wakuu nawasalimu wote Habari za Asubuhi. Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka naomba mniambie maana ya neno "LIMBUKENI" Maana nimekua nikijiuliza tafsiri ya hili neno na sijaweza kupata maana ya neno Hilo
Wakuu nawasalimu wote Habari za Asubuhi. Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka naomba mniambie maana ya neno "LIMBUKENI" Maana nimekua nikijiuliza tafsiri ya hili neno na sijaweza kupata maana ya neno Hilo
Mbambadu JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 253 Reaction score 458 Mar 28, 2020 #2 Mtu anayeanza kutumia kitu kwa Mara ya kwanza
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,965 Mar 28, 2020 Thread starter #3 Hakuna maana nyingine tofauti na hiyo mkuu Maana nikihusishanisha namna neno Hilo linavyotumika naona Kama bado haijaleta maana sahihi
Hakuna maana nyingine tofauti na hiyo mkuu Maana nikihusishanisha namna neno Hilo linavyotumika naona Kama bado haijaleta maana sahihi
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,278 Mar 28, 2020 #4 Mbambadu said: Mtu anayeanza kutumia kitu kwa Mara ya kwanza Click to expand... wewe ni limbukeni wa kupanda Rocket ??
Mbambadu said: Mtu anayeanza kutumia kitu kwa Mara ya kwanza Click to expand... wewe ni limbukeni wa kupanda Rocket ??
Mbambadu JF-Expert Member Joined Oct 25, 2019 Posts 253 Reaction score 458 Mar 28, 2020 #5 Together as One said: Hakuna maana nyingine tofauti na hiyo mkuu Maana nikihusishanisha namna neno Hilo linavyotumika naona Kama bado haijaleta maana sahihi Click to expand... Nimeikuta tu iyo maana sehemu mkuu yawezekana kuna maana zaidi ya hiyo
Together as One said: Hakuna maana nyingine tofauti na hiyo mkuu Maana nikihusishanisha namna neno Hilo linavyotumika naona Kama bado haijaleta maana sahihi Click to expand... Nimeikuta tu iyo maana sehemu mkuu yawezekana kuna maana zaidi ya hiyo
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,979 Reaction score 33,441 Mar 28, 2020 #6 Limbukeni = Masanjaone Simple kabisa. We mfuatilie Masanja tu utajua maana ya limbukeni na anafananaje
Limbukeni = Masanjaone Simple kabisa. We mfuatilie Masanja tu utajua maana ya limbukeni na anafananaje
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,831 Reaction score 22,383 Mar 28, 2020 #7 LIMBUKENI ni MTU ambaye AMEPATA AU ANATUMIA kitu ambacho HAJAWAHI KUKITUMIA AU HAJAWAHI KUKIPATA ktk MAISHA YAKE,,,,huku AKIJIONNYESHA MBELE ZA WATU KUTUMIA AU KUMILIKI KITU HICHO... Sent using Jamii Forums mobile app
LIMBUKENI ni MTU ambaye AMEPATA AU ANATUMIA kitu ambacho HAJAWAHI KUKITUMIA AU HAJAWAHI KUKIPATA ktk MAISHA YAKE,,,,huku AKIJIONNYESHA MBELE ZA WATU KUTUMIA AU KUMILIKI KITU HICHO... Sent using Jamii Forums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,807 Reaction score 196,577 Mar 28, 2020 #8 Mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza... Cc: mahondaw