mama chupaki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 940
- 768
Hapo anayetaka kukuwahi kwa kukuangamiza una muwahi yeye.
Hapo mwenye kisu alichokanyaga kinataka kudondoka na huyo jamaa mwingine amekibana na mguu kisidondoke kwani pia mikono yake imefungwa kamba. Hapo wanatafuta njia ya kujiokoa wote.