Naomba tafasiri ya kibonzo hiki...

Naomba tafasiri ya kibonzo hiki...

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,605
Reaction score
3,672
267f960d11d1707cc0104283b03fa6b6.jpg
 
Duh!tega nikutege,na hapo ishafika tegua uisome namba.
Au nimekosea wajameni?
 
Hii inaonyesha kuwa wote watakufa japo walikuwa na nafasi kubwa ya kupona endapo huyu mwenye kisu angekata kamba yake kwanza.
Kinachoonekana ni kuwa, huyu anayekatwa kamba ataisukuma stool ya huyo mkataji kabla hajaikata kamba kisha wote kamba zitawanyonga.

Hii inaitwa jiokoe kwanza.
 
Kikulacho au kitakacho kuteketeza hakipo mbali na wewe.
 
Maana yke ni Ubinadamu ni Kazi,, Au tenda wema nenda zako,, si kila unaemsaidia ama kuokoa maisha yke au familia yke kwamba naye atakuja kukufaa maishani mwako,,
MTU huyo huyo aweza kuwa ndiye kiongozi wa kukuangamiza na hata kuinyofoa roho yko.
 
Ukitaka kujua kuna mijitu ina roho mbaya basi ni huyo jamaa wa kushoto pia watu wema kama huyo wa kulia anamfikiria mwenzie kuliko nafsi yake wote hao tunao hata humu jamiiforum.com
 
Inamaanisha urafiki wa kinafki..we unamsaidi kumbe ye hana nia njema na ww..hana jema,tengua shida yake akutokomeze..

By the way you can say 1000 words with that one pic
 
Mie naona cha kujifunza hapo ni kutumia akili na maarifa vizuri kutatua matatizo.

Kwani huyo jamaa angekata kwanza kamba yake kisha amsaidie huyo mwenzake nini kingetokea. Hapo anahatarisha maisha yao wote kama sio ya kwake endapo jamaa atasukuma stuli kwa mguu.
 
Hii picha inanipa wakati mgumu kuielewa maana inamkanganyiko nikiangalia kama wote wanapeana msaada vile kupelekea kuingia hata hatarini lkn tena kama kuna usaliti vile!!
 
Wema wako waweza kukuponza kua makini unapomsaidia mtu
 
Back
Top Bottom