Naomba support yenu wadau

Uta..Subscribe youtube channel SWAHILI ZONE

  • Total voters
    5

Gwangzu

JF-Expert Member
Dec 21, 2017
2,460
3,818
Habari za muda huu wakuu...
Mimi ni Mdau wa jukwaa hili la technology nimefungua channel Kule youtube inayohusu ma.Game na teknolojia kwa ujumla ninaomba support yenu kwa kusubscribe channel yangu ya youtube inaitwa
SWAHILI ZONE na kushare video zangu huwa naweka maelekezo jinsi ya kudownload MAGEMU kwa mfano..

*jinsi ya kudownload dream league 2021

*Jinsi ya kudownload GTA San Andreas III
 
Habari za muda huu wakuu...
Mimi ni Mdau wa jukwaa hili la technology nimefungua channel Kule youtube inayohusu ma.Game na teknolojia kwa ujumla ninaomba support yenu kwa kusubscribe channel yangu ya youtube inaitwa SWAHILI ZONE na kushare video zangu huwa naweka maelekezo jinsi ya kudownload MAGEMU kwa mfano *jinsi ya kudownload dream league 2021
*Jinsi ya kudownload GTA San Andreas iii
GTA kwenye android au...
 
GTA link uliyonipa nimedownload hola hizo mbs bora ningecheki porn tu
 
GTA link uliyonipa nimedownload hola hizo mbs bora ningecheki porn
GTA link uliyonipa nimedownload hola hizo mbs bora ningecheki porn tu
Tafadhari naomba uangalie video mpk mwisho kuna mafile kama matatu unatakiwa kuwanayo kwanza uwe na application ya ZARCHIVER alafu download Gta APK mb 16 link nimekuwekea kwenye discripshion alafu uta download data mb 200 kisha fuata maelekezo yote hapo kwenye video
 
Mkuu magemu yangu no moded nishindwe kuinstall kwel
 
Back
Top Bottom