mkwatis
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 350
- 171
Asante kwa serikali ya awamu ya 5 kwa kuonyesha njia/uelekeo mzuri kuhusiana na mapampano ya madawa ya kulevya,ili kufanikisha hili naomba serikali iweke vituo vya kupima vileo/vilevi kwa hiari(kama vituo vya kupima ukimwi) kwa mustakabali chanya wa taifa letu,na iwekwe wazi kama,
eg,1.Joseph........MSUBA,MRUNGI,PETROLI etc
2.Adde...........MRUNGI
3.Mwamjua.......HEROINE....and so on,
Na wataalam wa saikolojia wajitolee kushauri na kuwe na vituo kwa waathirika hawa zaidi ya kuwashitaji ili Tatizo hili lipungue kama si kuisha kabisa!
NAWASILISHA HOJA!