Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Mod, najua lipo jukwaa mahsusi, lakini kwa unyeti wa hii picha naomba uiache hapa wadau waijadili.
na tutuatoka mbali sana kwenda kununua mahindi kwake baada ya muda anafungua kiwanda cha mahindi choma, wauzaji wetu wa mahindi wako palepaleAmeona fursa
Anaitumia
Ss tutabaki kushangaa tu.!!!!!!
Kama huyo jamaa hapo nyuma.
Haamini anachokionaaaa
Ndugu zangu hii picture ni ya kutengeneza, hapo ni stend ya arusha, hayo unayoyaona hapo ni magari ya Namanga, na yuyo unayemuona hapo ni Dreva asiyekuwa na gari maalum kwani mara nyingi huwa unamkuta yuko kila gari, hapo kwa huyo mchina kuna mama mmoja anachomaga mahindi yuko na mtot wake mara nyingi, sasa hapo inawezekana huyo mchina alikuwa kitaliiiiiiii zaidi akaamua apige picha, acheniiiiiiiii uongo,
Huna uhakika tulia dawa iwaingie nyie maintarahamwe
Sasa tuelewe lipi. Ebu jieleze vema bhanaNdugu zangu hii picture ni ya kutengeneza, hapo ni stend ya arusha, hayo unayoyaona hapo ni magari ya Namanga, na yuyo unayemuona hapo ni Dreva asiyekuwa na gari maalum kwani mara nyingi huwa unamkuta yuko kila gari, hapo kwa huyo mchina kuna mama mmoja anachomaga mahindi yuko na mtot wake mara nyingi, sasa hapo inawezekana huyo mchina alikuwa kitaliiiiiiii zaidi akaamua apige picha, acheniiiiiiiii uongo,
Ndugu zangu hii picture ni ya kutengeneza, .....
.......huyo mchina alikuwa kitaliiiiiiii zaidi akaamua apige picha, acheniiiiiiiii uongo,
kaka mimi nina uhakika asilimia mia moja, , hapa arusha stendi ndio makao yangu, cha kukusaidia tuuuuuu ni kuwa mim ninakuona mtu wa ajabu sana kwa kuzusha vitu vya uongo, njoo hata sasa hivi niko hapa pembeni kidogo tuuu ulipoga picture na brusha viatu, nadhani ulipopiga hiyo picture pembeni ulimwona shoo shiner,
Jitu zima kushinda stand 24hrs!? Ila sishangai sana kwani huenda ukawa ndo wale wale wanaosubiria wakuja waingie A-Town kisha muwaibie.