Naomba sample Application letter utumishi

2018

JF-Expert Member
Jan 1, 2018
546
778
Wakuu, naombeni sample ya application letter zinazotumika utumishi.

Je inaandikwa kwa mkono au inachapwa maana nmeona natakiwa kusaini?

Tafadhari naombeni msaada wa haraka

View attachment 2158770
 
Andika kwa mkono, weka address yako na ya utumishi kama barua nyingine ya kikazi. Kumbuka ku-specify nafasi gani unaomba na ni kwenye taasisi gani. Mwishoni kwa chini kule baada ya sincerely and stuffs andika jina lako, chini angusha signature yako. Kisha utaenda kui-scan stationery, watakuwekea kwenye format ya pdf. Kitakachobaki ni wewe kuituma.

Next time ukitaka kuapply tena hutakua na haja ya kuscan tena barua, hiyo softcopy yenye signature yako itunze, utakua unai-convert tu kwenda kwenda format ya word (.doc) inayokuwezesha ku-edit, una-edit kisha unairudisha kwenye format wanayotaka ya pdf na kuwatumia. Kumbuka unaweza kuiandika kwa Kiswahili au Kiingereza. Hivyo yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kwa mkono, weka address yako na ya utumishi kama barua nyingine ya kikazi. Kumbuka ku-specify nafasi gani unaomba na ni kwenye taasisi gani. Mwishoni kwa chini kule baada ya sincerely and stuffs andika jina lako...
Shukrani mkuu
 
Andika kwa mkono, weka address yako na ya utumishi kama barua nyingine ya kikazi. Kumbuka ku-specify nafasi gani unaomba na ni kwenye taasisi gani. Mwishoni kwa chini kule baada ya sincerely and stuffs andika jina lako, chini angusha signature yako. Kisha utaenda kui-scan stationery, watakuwekea kwenye format ya pdf. Kitakachobaki ni wewe kuituma.

Next time ukitaka kuapply tena hutakua na haja ya kuscan tena barua, hiyo softcopy yenye signature yako itunze, utakua unai-convert tu kwenda kwenda format ya word (.doc) inayokuwezesha ku-edit, una-edit kisha unairudisha kwenye format wanayotaka ya pdf na kuwatumia. Kumbuka unaweza kuiandika kwa Kiswahili au Kiingereza. Hivyo yani

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umenistaajabisha kidogo, barua ulio andika kwa mkono na ukasacan unawezaje kui edit, ebu nielezee, maana ingekuwa umeandika kwa word then uka scan hapo kweli
 
Hahahaha, hapo nilijichanganya mkuu. Ni barua typed kwenye word, sio ya mkono. Inakua printed, inawekwa signature kisha inakua scanned. cc 2018

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umenistaajabisha kidogo, barua ulio andika kwa mkono na ukasacan unawezaje kui edit, ebu nielezee, maana ingekuwa umeandika kwa word then uka scan hapo kweli
Ukute huyo jamaa Ni graduate kabisa
 
Ww andika tu ilimradi uweke lenho.lako

Utumishi watakuita tu, kivumbinutakutana nacho dodoma pale
Mkuu utumishi Sasa hv wanazingua sana... Kuna hzi kazi zilizoita Usaili mwezi huu mwshoni vijana wengi wamekatwa sijui tatizo nn.. hawa watu wana dhambi sana yaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom