Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Habari zenu wajamen!,naomba radhi kwa kingia bila kubisha hodi. Anayedhani alikuwa uchi wamnyama asiogope maana mimi ni kipofu macho yangu fimbo. Aman iwe nanyi....!

iwe pia nawe??
Ingia tu haina kwereeee
Habari zenu wajamen!,naomba radhi kwa kingia bila kubisha hodi. Anayedhani alikuwa uchi wamnyama asiogope maana mimi ni kipofu macho yangu fimbo. Aman iwe nanyi....!
Habari zenu wajamen!,naomba radhi kwa kingia bila kubisha hodi. Anayedhani alikuwa uchi wamnyama asiogope maana mimi ni kipofu macho yangu fimbo. Aman iwe nanyi....!
umepata division ngapi?
Hahahaahh huyu mgeni ana mkwara, karibu sana!
Pitia jukwaa la wakubwa macho yenyewe yatafunguka kwa sauti tu za huko.
ntalipataje hlo jukwaa,mana macho yangu yanaukungu kinamna
Jukwaa lile halikufai, komaa hukuhuku!