Wana JF naomba yeyote mwenye nyimbo za Ron Kenoly anisaidie - audio or Video
Mkuu, the best way ni kucheki kupitia www.youtube.com
Nazijua baadhi ya nyimbo zake na huwa naangalia kupitia hiyo website ila sifahamu vizuri jinsi ya kukuwekea hapa JF.
Enjoy!
Wana JF naomba yeyote mwenye nyimbo za Ron Kenoly anisaidie - audio or Video