Naomba nyimbo za Ron Kenoly | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba nyimbo za Ron Kenoly

Discussion in 'Entertainment' started by Mgombezi, Apr 27, 2009.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba yeyote mwenye nyimbo za Ron Kenoly anisaidie - audio or Video
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mkuu, the best way ni kucheki kupitia www.youtube.com
  Nazijua baadhi ya nyimbo zake na huwa naangalia kupitia hiyo website ila sifahamu vizuri jinsi ya kukuwekea hapa JF.
  Enjoy!
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  belinda,hivyo among these modern american gospel singers,yupi unadhani is the best
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145

  Kaka, mbona madukani zipo. Tembelea maduka hasa yanayouza vitabu na kanda za Kikristo. Kama upo Dar nenda City Christian Bookshop, mtaa wa Mkwepu kama unatokea Posta mpya au Ilala TAG karibu na round about ya Uhuru/Msimbazi.
   
Loading...