Naomba Notes za advance wandugu

Naomba Notes za advance wandugu

Wakuu kuna site yeyote naweza pata material ya o level
Ingia google Andika MPELLA EDUCATION BLOG ikifunguka results yakwanza ambayo web link yake ni raj mpella dot blogspot dot com Ingia hapo kuna materials Zote kuanzia form one mpaka form six tena nyingi zipo kwenye word documents full Na zingne pdf, ni uhakika notes zote zipo au mcheki mmiliki wa blog 0759146185 Akusaidie
 
msaada advanc mathematics k wa alevel email yangu nicholauslyakurwa07@gmail
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom