Update uzi wako mkuu!Kwa heshima na taadhima, sio mbaya nikiwaaga members wenzangu ambao nimefahamiana nao hapa JF. Pia, kwa dhati kabisa naomba wote wenye niliwakwaza kwa makusudi ama kwa bahati mbaya wanisamehe.
Siamini kama kuna yeyote anaeye tamani kuhitimisha safari yake hapa duniani akiwa mwenye dhambi, kwasababu Mungu wetu mwenye upendo ametupa nafasi ya kutubu dhambi zetu siku zote.
Baada ya kazi sasa nimeona nijitenge kwa muda wa siku kadhaa ili niitazame afya yangu. Kama Mungu akipenda basi tutaendelea kujiona tena, lakini akinipenda zaidi basi yote kheri.
Hakika ninaogopa, nimekuwa na hofu kuu, moyo wangu unahuzunika.
Ngoja nipambanie hii pumzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujaweka namba akutumie sadaka kwa Mpesa?Mwanangu Ushimen Mungu atukuzwe kwa kukuruzuku maisha tena maana ulikuwa umeshakata tamaa kabisa! Sasa mwanangu usije ukamwacha hata siku moja, kama ukikuwa humjui sasa ni fursa yako kumjua na kumtumikia! Yunafundishwa kwenye Katekismu kwamba Mungu ametuumba ili tumjue, tumpende, tumtumikie na mwisho twende kwake mbinguni. Sasa kama haya ulikuwa umeyasahau ni wakati muafaka kuyakumbuka na kuyatenda! Kila wakati Mungu anapotupa fursa ya pili huwa ana makusudi yake! Mimi nilikoswakoswa kufa kwenye ajali ya gari landcrusier mkonga ikawa nyang'anyang'a lakini nikatoka bila mchubuko, kila nilipogonga humo kwenye gari penyewe ndipo palibondeka siyo mimi! Huwa nikifika hapo nachoka mwenyewe na haya makusudi ya Mungu! Sasa mkuu hiyo dawa iliyokutibu iweke hapa kwa ufasaha kabisa ili wote tujue! Pia toa ushuhuda kabisa!
Hapana mkuu mimi siyo Mzee wa Upako au Prof. Gwajima!Mbona hujaweka namba akutumie sadaka kwa Mpesa?
Umejuaje kuwa ni mungu na wala sio corona imeghairi kwa hiyari yake yenyewe na kuachana na windo lake?Hapana mkuu mimi siyo Mzee wa Upako au Prof. Gwajima!
Aje a like comment kututia moyo.Naamini katoboa.Kwa hiyo ushimen kavuta au katoboa
Siyo kazi yangu kujua hayo mengine, mimi ninachojua Mungu kwamruzuku maisha tena bwana Ushimen basi!!Umejuaje kuwa ni mungu na wala sio corona imeghairi kwa hiyari yake yenyewe na kuachana na windo lake?
Umefeli kiimani.Siyo kazi yangu kujua hayo mengine, mimi ninachojua Mungu kwamruzuku maisha tena bwana Ushimen basi!!
Na zenyewe zimepigwa marufuku! Jiwe bwana, kwa kweli hakuna mtu mjinga kama huyo mzee!leo sijaona TANZIA
au ni hii dawa ya Madagascar!
Siyo yenyewe niskize mimi mrombo[emoji28]Acha basi!!! Mbona mm nimekunywa hii na ndio imenisaidia na watu waliniambia ndio yenyew na ukiifananisha na ile ya Madagascar mbona zinafanana jamani!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Achaga ubishi basi mkuu. Silo. Angalia yofauti ya majani yake. Hayo uloweka ni manene. Ya iyaka ni tofauti. Unaweka haya hapa sema umeshindwa tofautisha. Angalia kwa umakini sana majani yalivyo ujur tofauti yake. Fananisha majani na picha uloweka kama vyafanana mkuuNakwambiaje hilo ndio nawekaga kwenye subu ya mbuzi unabisha nini kiongozi
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ninadalili kama zako siumwi chochote zaidi ya pumzi, sema kuanzia jana ninapata nafuu baada ya kuanza kutumia Azithromycin, Predinisorone, aspirin pamoja na matunda yenye vitamin C kwa wingi .Na mida hiyoyo ndio mida ya kubana ila nakupiga pushup napo inanisaidia kupumua vizuri.Nina jifungi siku nzima nikitoka nje natumia mask na sanitizer kila muda ili kulinda wengine.Ebana huu ugonjwa hata mimi nadhan ninao japo sijapima coz kupumua imekua ishu sana at least sa iv pumzi imeachia ila siku mbili tatu nyuma apa nilikua napata tabu sana hasa ikifika usiku sometime naamka saa tisa usiku pumzi zimebana nafanya mazoezi kidogo zinaachia narud tena kulala.Natumia malimao,nakula machungwa na asali kwa sana sa iv naweza vuta pumzi kidogo afadhali sio kama hapa katikati Siku nne zilizopita.
Yan kiukweli huu ugonjwa umeshatapakaa sana dar hapa na mimi ukuniuliza nimeutoa wapi hata sijui kwa sababu nilijitahidi sana kujizuia nisitoke toke lakini wapi ngoma nimekutana nayo nacheza nayo sa ivi.. Tena mimi sijasikia dalili nyingine zaidi ya kushindwa kupumua na sijamwambia yoyote ukiniona wala huwezi jua kama hata ninazo ila nimeacha kutoka kabisa zaidi ya kununua vitu vya msingi tena kwa tahadhari kubwa sana..
Mkuu haya nimeweka kwenye supu ya mbuzi mbona huniamini?Achaga ubishi basi mkuu. Silo. Angalia yofauti ya majani yake. Hayo uloweka ni manene. Ya iyaka ni tofauti. Unaweka haya hapa sema umeshindwa tofautisha. Angalia kwa umakini sana majani yalivyo ujur tofauti yake. Fananisha majani na picha uloweka kama vyafanana mkuuView attachment 1444777
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nikiweka feedback mkuu, nime eleza kwa uwazi bila tashwishwi dawa nilizo tumia na mitishamba pamoja na majini niliyo jifukizia nyungu.Huyu mdau amegoma hata kuleta feedback ya matumizi ya dawa anazotajiwa humu jukwaani?
Sent using iphone pro max
Ni post namba ngapi mkuu hayo majibu yako? Nimeyatafuta sana mpaka nimechoka!Tayari nikiweka feedback mkuu, nime eleza kwa uwazi bila tashwishwi dawa nilizo tumia na mitishamba pamoja na majini niliyo jifukizia nyungu.
Sasa nipo ngangari na nimekuwa mpya kabisa mkuu.
Ebu jaribu kurudi nyuma kidogo utayapata niliyo yaelezea kwenye mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nikiweka feedback mkuu, nime eleza kwa uwazi bila tashwishwi dawa nilizo tumia na mitishamba pamoja na majini niliyo jifukizia nyungu.
Sasa nipo ngangari na nimekuwa mpya kabisa mkuu.
Ebu jaribu kurudi nyuma kidogo utayapata niliyo yaelezea kwenye mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app