Naomba nilipe deni la MMU

Naomba nilipe deni la MMU

Teh teh sasa yan ye mwenyewe anashangaa huyu jamaa anamoyogani kumbe m naumia ila nawaambiaga kawaida ila hapo tena akinipa lazma nivae jezi

Na uo ndo mpango....
 
Hahaaaa pole mkuu and 4giv me
hahahaaaa!! no worry mkuu.. next time ukiona hii post, niongezee reputation ishara ya kuomba msamaha! lolest...!

have a happy holy friday, weekend, and pasaka too!.. 3 in one package.!
 
hahahaaaa!! no worry mkuu.. next time ukiona hii post, niongezee reputation ishara ya kuomba msamaha! lolest...!

have a happy holy friday, weekend, and pasaka too!.. 3 in one package.!

Hahahaaa rushwa. Af mm hii kitu mbona siijuagi wajameni wanafanyaje?
 
Hahahaaa rushwa. Af mm hii kitu mbona siijuagi wajameni wanafanyaje?
mkuu unakaona hako kanyota kalikoko pembeni ya send pm mkono wa kulia?.. dadeki zake..!

sasa, kabonyeze kidogo tu, katainuka kimadaha sana!!!.. then approve, comment maneno yasiyopungua kumi hivi..! andika chochote tu unachojisikia dadeki!... baada ya hapo, bonyeza add comment. leave, over!

jaribuni na wana jf wengine msiojua hii bana, sio mnaongezewa rep tu afu hamjibu!.. lolest..

try here kwa excel!
 
Duuuh tatizo natumia mchina mkuu kwa hyo yote uliyoyasema ni misamiati migeni
 
hongera kwa kuukataa uzoba............

ila una moyo mgumu , unaweza kujikuta unasuprise kufumania hlf unaishia kusamehe.
 
hongera mkuu. mapenzi haya duh! ngoja tu niendelee kuwaza biashara zangu bana lol! binadam sisi ni pasua vichwa tu si wanaume si wanawake wote uongo uongo tu, khaaa! wa ukweli ataletwa na mungu tena bila kuhangaisha kichwa.
 
hizo like unazitoaje mkuu?.. btw, leave it, usiku mwema...

dolce n gabana!

Mkuu hapa kwenye option zangu kuna reply, quote, multi, like,share na more. Under more kuna;
Send author a message
Report
Copy post content
Copy post URL
View outhor' profile
Open in browser.
Ni hayo tu
 
Kama upo nae just for fun huna haja ya kukagua kwanza haikuhusu. Ila km una malengo na mtu lazma ujue mambo yake ili uelewe km mko njia moja ama mwenzio amekuweka kama ziada

kukagua simu ya mpenzi wangu muhimu sana, hyo haina mjadala
 
hebu nitext mamii tuongee vizuri..

0766924165... do it now!

ah swaiba hizi digit si ninazo jamaniiii! au unataka uwape humu ndani wakutafute wabaya wako wakakutoe kucha na meno kama Dk naniiiii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom