Naomba nilipe deni la MMU

Naomba nilipe deni la MMU

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,051
Waslaaam wana jamvi wenzangu....

Nimejaribu kukaa na il jambo ila naona bado nadaiwa humu...

Kwa wale ambao wamekua wakifatilia thread zangu za nyuma kuanzia nahisi naibiwa na ile nyingine ya kumsamehe mahabuba wangu watakua wananielewa zaid ila ili twende ote naomben niflash back japo kwa ufupi...

Nilikua na mpenz(ni mrembo kwa kweli) nilianza bae baada ya kumaliza chuo wakati yeye akiwa anaingia mwaka wa mwsho...
Baada ya muda kwenda nilihs naibiwa...then nikapanga kufanya suprise visit.. na kweli nilifanikiwa kwenda na kumkuta na conversation na mtu ambae nilikuja kujua ni lecture na sp supervisor wake..

Nilijitoa ufahamu nikamuonya na kuahid kuendelea nae(kabla yake ckuwah kua muumin wa kusamehe kirahisi rahisi ila sababu nilimpenda na niliamin katika yeye kua mke wangu nilimvumilia)

Nikarud zangu kanda ya ziwa lkn baada ya muda akabadilika tena nkawa simuelew elewi...

Kwa kweli nilijitahidi kuokoa mahusiano yangu haya kwani pamoja na mshahara wangu wa kawaida niliweza kumnunulia smart fon ya maana tu(samsung galaxy)..na kila mwisho wa mwezi nilikua namtumia kiasi kwa kadri ya matumizi yake nikiamini ni mke wangu mtarajiwa...

Baada ya kubadilika tena na uku akijua nilimsamehe na yeye aliniahidi kutokurudiana na yule mwalimu,,,,nikajisemea this time naenda ila naenda kuhakikisha ili nimuache kwa sababu....

Nilipanga safari nikamuingiza king kuna mtu anatakiwa akamsalimie mida ya jioni ambapo ningekua anishafika....

Ilitokea ivo na akaja mzima mzima...kuniona kidgo azimie sabau nilimstukiza na simu hakua amei-clear...

Nilienda nae sehemu na tofauti na last time this time nikasema na papuch sitakii(najua kuna ambao watasema ningepiga)

Nilikuta tena wanaendelea na yeye akadai anamdanganya hana interest nae...

Sikua nimeumia sana kwan nilitegemea ilo...
Aliniomba msamaha na kulia sana kwamba ananpenda (sina hakika kama alikua anaigiza au kwel)...

Nilimuaga na kumtakia amani na maisha mema...hakuamin kua withn sort hours angekua ameachana na mimi...asubuhi yake nilipanda gari kurudi na ndo ikawa mwisho....amekua akinipigia simu mara kadhaa kuniomba turudiane ila ata nukta ya upendo kwake sina...

Mtanisamehe uzi mreeefu ila nimelazimika kueleza yote.

Wito: akina dada muwe na misimamo na maisha...ukiamua kuanzisha mahusiano na mtu be sure coz aya mambo yana malipo yake...kumtesa mtu ilhali humpendi au una buy time wakati mwenzio yupo serius..ni ujinga kushinda ujinga wenyewe.
 
pole sana, mie naogopa kumfanyia mtu suprise hizo, naweza nikazimia bure
 
leo umenifurahisha umeuacha UZOMBI au USUKULE japo kwa gharama kubwa kidogo piga chini kabisa huyo ni kicheche
 
iYboAAAAASUVORK5CYII=
 
Ndo zao.

Ukizidiwa fanya za cash money.

Mpe chake pata huduma, kesho hamjuani.

Note: Jezi ni must!
 
pole sana, mie naogopa kumfanyia mtu suprise hizo, naweza nikazimia bure

Nakumbuka wadau weng umu walinshauri nidifanye suprise ntaumia zaid ila nkasema hapana nataka nimuache kwa evidence..

Nlishachoka kua mshind kwenye kika mahusiano naacha mm na wakt flan bila hata sabab za msing....for sure nilikuta as many thout to be....
Nilijiona mshind na ntaendelea kujiona ivo coz angalau nilifanya utu uzima kwenye kumuacha (evidence)
 
leo umenifurahisha umeuacha UZOMBI au USUKULE japo kwa gharama kubwa kidogo piga chini kabisa huyo ni kicheche

Tehe tehe mku naona nimekufurahisha mana nakumbuka t has bin ure advice kupga chin..tehe
 
Ndo zao.

Ukizidiwa fanya za cash money.

Mpe chake pata huduma, kesho hamjuani.

Note: Jezi ni must!

Tehe...alaf akawa anasema hajampa papuchi...wee labda ingekua inasoma mita ningeelewa....
Nkamwambia ths tym huchomok....bak na lecture mama
 
Nakumbuka wadau weng umu walinshauri nidifanye suprise ntaumia zaid ila nkasema hapana nataka nimuache kwa evidence..

Nlishachoka kua mshind kwenye kika mahusiano naacha mm na wakt flan bila hata sabab za msing....for sure nilikuta as many thout to be....
Nilijiona mshind na ntaendelea kujiona ivo coz angalau nilifanya utu uzima kwenye kumuacha (evidence)

bora kuwa single kuliko kuwa katika mahusiano yasiyo sahihi
 
Pole sana
songa mbele maisha bado yapo na mapenzi yapo,MUOMBE MUNGU ukupe mke mwema
 
Waslaaam wana jamvi wenzangu....

Nimejaribu kukaa na il jambo ila naona bado nadaiwa humu...

Kwa wale ambao wamekua wakifatilia thread zangu za nyuma kuanzia nahisi naibiwa na ile nyingine ya kumsamehe mahabuba wangu watakua wananielewa zaid ila ili twende ote naomben niflash back japo kwa ufupi...

Nilikua na mpenz(ni mrembo kwa kweli) nilianza bae baada ya kumaliza chuo wakati yeye akiwa anaingia mwaka wa mwsho...
Baada ya muda kwenda nilihs naibiwa...then nikapanga kufanya suprise visit.. na kweli nilifanikiwa kwenda na kumkuta na conversation na mtu ambae nilikuja kujua ni lecture na sp supervisor wake..

Nilijitoa ufahamu nikamuonya na kuahid kuendelea nae(kabla yake ckuwah kua muumin wa kusamehe kirahisi rahisi ila sababu nilimpenda na niliamin katika yeye kua mke wangu nilimvumilia)

Nikarud zangu kanda ya ziwa lkn baada ya muda akabadilika tena nkawa simuelew elewi...

Kwa kweli nilijitahidi kuokoa mahusiano yangu haya kwani pamoja na mshahara wangu wa kawaida niliweza kumnunulia smart fon ya maana tu(samsung galaxy)..na kila mwisho wa mwezi nilikua namtumia kiasi kwa kadri ya matumizi yake nikiamini ni mke wangu mtarajiwa...

Baada ya kubadilika tena na uku akijua nilimsamehe na yeye aliniahidi kutokurudiana na yule mwalimu,,,,nikajisemea this time naenda ila naenda kuhakikisha ili nimuache kwa sababu....

Nilipanga safari nikamuingiza king kuna mtu anatakiwa akamsalimie mida ya jioni ambapo ningekua anishafika....

Ilitokea ivo na akaja mzima mzima...kuniona kidgo azimie sabau nilimstukiza na simu hakua amei-clear...

Nilienda nae sehemu na tofauti na last time this time nikasema na papuch sitakii(najua kuna ambao watasema ningepiga)

Nilikuta tena wanaendelea na yeye akadai anamdanganya hana interest nae...

Sikua nimeumia sana kwan nilitegemea ilo...
Aliniomba msamaha na kulia sana kwamba ananpenda (sina hakika kama alikua anaigiza au kwel)...

Nilimuaga na kumtakia amani na maisha mema...hakuamin kua withn sort hours angekua ameachana na mimi...asubuhi yake nilipanda gari kurudi na ndo ikawa mwisho....amekua akinipigia simu mara kadhaa kuniomba turudiane ila ata nukta ya upendo kwake sina...

Mtanisamehe uzi mreeefu ila nimelazimika kueleza yote.

Wito: akina dada muwe na misimamo na maisha...ukiamua kuanzisha mahusiano na mtu be sure coz aya mambo yana malipo yake...kumtesa mtu ilhali humpendi au una buy time wakati mwenzio yupo serius..ni ujinga kushinda ujinga wenyewe.

Tatizo ni kwamba wanaume wenye mapenzi ya dhati wanapata wanawake feki and viceversa. Ni shidaa
 
Huu ujumbe ameupata kwa sababu ulimnunulia Samsung Galaxy XX, lazma ana access ya kuingia mtandaoni, hasa JF. Ujumbe umemfikia.
 
Tehe tehe....hua hanaga iz interests...ni msongoliso sana...
Though i wish aupate....
 
Tatizo ni kwamba wanaume wenye mapenzi ya dhati wanapata wanawake feki and viceversa. Ni shidaa

Cjui kwann inatokea ivo...ukiwa serius someone is not and vise vesa...m pia inanshangaza.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom