Naomba ndoa kwa mamndeny

na wewe tena, hebu tema mate chini kwanza.

 
kumbe hujui kuwa kwenye hii kitu mapenzi hakunaga mwenye maadili,
ndio maana hata rais wa nchi hurukwa na kichaa na kuchanganyikiwa na secretary wake,

sembuse mwanasheria wa udongo ruttashobolwa, utashangaa anakugusa pasipotakiwa halafu atajidai samahani kumbe kadhamiria,:israel:

hapana hawezi,
ni mwanasheria wa dada fulani hapa jf,
maadili anayo yakutosha hawezi.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone kaingia chaka.

Arushaone upo wapi?
tupe majibu ya PM mumefika wapi na Mamndenyi
watu tukusindikize kuswaga ile ngo'mbe elfu moja kama mahari,

chhe kuna kajamaa hapa kanajifanya kanasheria,
ni njaa tu inakasumbua eti inataka zuia wewe usipewe mke,
embu njoo ukihesabia noti kadhaa amabayo ijawahi shika ipotee hapa,
 
Last edited by a moderator:
Amekimbia ningempa hata binti yangu mmoja,
kumbeArushaone si mwowaji.

 
Mteja wangu ana kana kuwa na makubaliano na mtu yeyote kuhusu posa.

As her lawyer i must take action to clear this issue.

mteja wako hutaki aposwe? ! unataka umpose wewe ?
shauri yako utashangaa mwisho wa siku, mtu anakwenda chukua chake , unabaki jishangaa
 
mamdogo Mamdenyi mie ntashika maua, tehe cherekooo, cherekoo, bibi kapata mjukuu ayiiii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…