Naomba ndoa kwa mamndeny

Hii ndio Jf bwana,
Ma-stress yako,TUPA KULEE,
Tunakula Raha tu.

Ma Mkwe,njoo bwana kuna baba Mkwe mpya kajitokeza.
Ila angalia kama 'mfuko' wake unalipa.
Hatutaki wakwe Maskini sisi.
 
kukosa maadili tena kunaingiaje hapo?

kijana moyo wake umekudondokea,
mpe nafas mjivinjari,
si unajua malavidavi hayana umri,
na kijana yupo tayari kuchukua jumla,

kijana masai ya Arusha hiyo inaitwa Arushaone ipo tayari kabisa, imesema itaswaga ngo'mbe elfu moja kwa boma kama mahari,


Eeeeh bana eeeeh,
nikisema maadili hakuna mnasema umezeeka,
si unaona mwenyewe sasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…