Nimepambana na udanganyifu mkubwa wa ukusanyaji kodi unaofanywa na watu ambao siyo waaminifu kwa kutumia jina la TRA. Mwenye namba simu nambako naweza kuripoti tatizo nililokutana nalo tafadhali anijuze. Sitaki kuelezea tatizo hilo mpaka hapo nitakapozungumza na mtu wa TRA.