W wanan Senior Member May 11, 2011 141 42 Jan 6, 2017 #1 Habari naomba mawasiliano ya katibu mkuu sbb mwanangu amefukuzwa shule ya sbb wastani wake upo chini 41.natanguliza shukuran za dhati
Habari naomba mawasiliano ya katibu mkuu sbb mwanangu amefukuzwa shule ya sbb wastani wake upo chini 41.natanguliza shukuran za dhati
Mwalimu Ntuntu JF-Expert Member Jun 3, 2016 308 285 Jan 6, 2017 #2 Hii anwani ya Katibu Mkuu binafsi sina ila ikipatikana itanisaidia sana maana ninaihitaji sana na mm