Naomba Mwongozo wa kumbana Spika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Mwongozo wa kumbana Spika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanagenzi, Feb 17, 2011.

 1. M

  Mwanagenzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 11, 2006
  Messages: 690
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Nafahamu bunge linaendeshwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Anayesimamia haya yote ni Mheshimiwa (I prefer Ndugu) Spika. Je, endapo Spika atakosea, atapotoka au kupotosha kwa makusudi au bahati mbaya, akiwa anaendesha vikao vya bunge anaweza kuchukuliwa hatua gani?

  Ningependa kupata MWONGOZO wa jinsi ya kushughulika na Spika! Au yeye ni infallible?
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 514
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Nadhani watalaam watatupa mwongozo. Ngoja tuendelee kusubilia.
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Jaribu pia kuwasiliana na mbunge wako atakuwa anazijua hizo rules
   
Loading...