Naomba mwenye wimbo wa Pasada

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,565
1,516
Naomba mwenye wimbo was pasada ambao TID aliimba akiuta Asha
Ninashida na huo ulioimbwa na PASADA ama jina la wimbo, maana nimejaribu Ku google siupati napata maelezo tu labda technolojia 2007 haikuwa nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom