uza tu ilo kombora mkuuHi guys simu yangu imepata shida ,nikipigiwa wanadai inaita Mara moja na kusema namba iko busy .
Na hii ni kwa line zote kila mtu anaepiga anasema hivyo.Ila Mimi nikipiga hakuna shida yeyote.
Tafadhali mnisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tecno sio simu tu watu hawaelewi bado tu ilo tatizo litaendelea tu adi litake lenyewe sasa basi kama hataki auze tu simu hiyo anunue nyingine tu
##002# kisha bofya kitufe cha kupiga
ingekuwa vizuri ungesema Tekno ya aina gani maana tekno ni kama unga was ngano sana bidhaa nyingi sana sikoni kwa sasa
uza tu ilo kombora mkuu