Naomba mwenye gari nifanye Uber

BenBillion

Member
Feb 15, 2017
7
3
Habari wana-JF!Ben hapa,mkazi wa jijini Dar es salaam, Tabata.

Kama unagari yako (solon car) na ungependa tufanye biashara ya Uber tafadhali niko hapa. Msingi iwe kwene hali nzuri tu na nakuhakikishia kuitunza pia!

Asante.

0682294921
 
Natafta kazi ya bajaji eneo moshi mjini kana uko tayari tuwasiliane iwe ya mkataba au sio mkataba namba 0757788194
 
Back
Top Bottom