NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
Habari wadau,
Naomba mwenye CV ya Afande Sele tafadhali.
Naomba mwenye CV ya Afande Sele tafadhali.
Mpigie simu akupe.Habari wadau,naomba mwenye cv ya.afande sele tafadhali
Google cv afandeHabari wadau,naomba mwenye cv ya.afande sele tafadhali
Kwa kukurahisishia Nenda Basata Au Ingia Google Search.Habari wadau,naomba mwenye cv ya.afande sele tafadhali
Habari wadau,naomba mwenye cv ya.afande sele tafadhali
Twende mbele turudi nyuma huyu jamaa ni kichwa kweli kweli!
Bange mbaya sanaSiijui CV yake ikoje ila anaimba reggae kama Bob na msuba lazima unahusika katika style hii:
![]()
Dah kwa CV hii Mugabe mwenyewe haoni ndaniSiijui CV yake ikoje ila anaimba reggae kama Bob na msuba lazima unahusika katika style hii:
![]()
Twende mbele turudi nyuma huyu jamaa ni kichwa kweli kweli!
haaaahahahaaaSiijui CV yake ikoje ila anaimba reggae kama Bob na msuba lazima unahusika katika style hii:
![]()
ahsanteKwa kukurahisishia Nenda Basata Au Ingia Google Search.
mkuu Retired si uchokozi bali nimefuahishwa na hiyo staili yake ya KUMEDITETI alipokuwa jukwaaniUchokozi sasa