AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,644
- 2,370
Habari wakuu,
Jamani jana mida ya asubuhi kati ya saa 1:30 na saa 2:00 asubuhi kupitia radio TBC nilisikia watu wakihojiwa, hao jamaa walikuwa wakihamasisha ufugaji wa mende pamoja na ukulima wa strawbery na mchaichai. Nilivutiwa na maelezo yao, lakini sikuwahi kusikia wakitaja namba zao za simu ama mahala ilipo hiyo taasisi.
Kwa hiyo wadau nimekuja kwenu, kwa mwenye kujua mawasiliano yao au mahala zilipo ofisi zao kwa hapa DSM anijuze.
Natanguliza shukrani.