figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Mh! Unataka uziwa kesi wewe!
Kwanini huyo mwanamke asimpe mwenyewe..??
Na unauhakika gani ni dawa ya kuacha pombe??
Chunga sana kuwapa watu vitu kama hivyo.
Usije mpa mtu sumu ukaishia pabaya ..
ushauri wangu usijaribu..
Mwambie huyo dada ampikie mme wake
Chakula vizuri, amnunulie kama ndo bia
Au konyagi .. halafu afanye majongololo
Yake mwenyewe....
Maziwa y m2 unachanganya kwnye valuu.kuna dawa ya kuacha pombe zaidi ya rehab? au ndio kiuganga zaidi
inakuwa nn sasz!! milk shake au valuu shake! au nyonyo shake!!!Maziwa y m2 unachanganya kwnye valuu.
Maziwa y m2 unachanganya kwnye valuu.