Naomba munijuze kuhusu Maombi ya vyuo

Jun 14, 2016
50
14
NDUGU;
Wana jf naomba munisaidie kunijuza kama maombi ya vyuo kwa wale walomaliza o-level kama yameshatolewa
Na km yametolewa yametolewa lini au yatatolewa lin???
Please help me
Thanx
 
Back
Top Bottom