Naomba Mungu Rev. Msigwa ashindwe kuthibitisha

suranne

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
120
Reaction score
246
Kwa kweli mi nakerwa sana na usiri uliopo serikalini na mjengoni maana mtu anapokosea au kwenda kinyume na utaratibu wa bungeni mbunge husimama na kuomba mwongozo wa spika kwa mbwembwe nyingi sana ili amwadhibu mkosaji ila mi sijaona mbunge aliyeambiwa athibitishe kauli mbele ya bunge ukisomwa uthibitisho wake ili hukumu itolewe kulingana na uthibitisho huo.Mfano sijawahi sikia hukumu ya Zitto, Lissu na Lema ila naona uhitaji wa kuthibitisha unaendelea so naomba mchungaji ashindwe kuthibitisha ili spika amwadhibu na hapo ndo tutajua hatima ya hukumu nilizozitaja hapo juu.
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!
 
Mshauri asipeleke kwa sababu tayari uthibitisho anao na ameshauandaa, anasubiri aambiwe lini apeleke
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!

We ungeomba shetani aendelee kumzingira Lukuv, makinda, ole sendk, na wabunge wa CCM ili wasiuone ukweli kama kawaida yao. Kupitia mbunge wa nkenge, mwenyezi mungu kamsaidia Mch Msigwa kuthibitisha kuwa kule bukoba Pinda alipokelewa na magari zaidiya 60 kiasi kikubwa kuliko kile ambacho mchungaji alituhumu. Labda kwakuwa hakuna uwanja wa ndege maeneo mengi tungepata uthibitisho wa ndege pia.
 
Hawtaweza kumpa nafasi ya uthibitisho maana mengi ni ukweli,thus wanaogopa serikali kuumbuliwa.Wanasema hivyo mjegoni kuridhisha wananchi tu
 
Naomba maombi yako yasifanikiwe!!sumi haipimwi kwa ncha ya ulimi!!
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!

Lazima utakuwa umevaa bullet proof na helmet kujinasua na mabomu yatakayoendelea. miye mpitaji tu..................
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama chetuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!

Angekuwepo faiza Foxy mbona mambo yangekuwa safiiiiiiiiiiiii. Mjadala ungenoga.
 
Si lazima kuchangia wanjameni kama unajua una mawazo ya mgando kama surnne. Kipi huelewi ktk vile Mch. Msigwa alisema je unataka kuhisi kuwa alikuwa anamsingizia Pinda kavukavu? Tatizo tunafanya hili jukwaa kama kijiwe cha kupumulia moshi wa bange ya Kijani mnayovutishwa na NAPE.
 
Afadhali kinachotakiwa kuthibitishwa kingekuwa kinahitaji ushahidi kweli, kwa kuwa mengi ya yanayohitajiwa kutolewa ushahidi yapo wazi, sasa ushahidi wa nini? ni kupotezeana muda tu.
 
Kwa kweli mi nakerwa sana na usiri uliopo serikalini na mjengoni maana mtu anapokosea au kwenda kinyume na utaratibu wa bungeni mbunge husimama na kuomba mwongozo wa spika kwa mbwembwe nyingi sana ili amwadhibu mkosaji ila mi sijaona mbunge aliyeambiwa athibitishe kauli mbele ya bunge ukisomwa uthibitisho wake ili hukumu itolewe kulingana na uthibitisho huo.Mfano sijawahi sikia hukumu ya Zitto, Lissu na Lema ila naona uhitaji wa kuthibitisha unaendelea so naomba mchungaji ashindwe kuthibitisha ili spika amwadhibu na hapo ndo tutajua hatima ya hukumu nilizozitaja hapo juu.
ungesikia vipi wakati huangalii au kusikiliza mjadala bungeni?Pumba zingine bwana! shida sana.
 
We ungeomba shetani aendelee kumzingira Lukuv, makinda, ole sendk, na wabunge wa CCM ili wasiuone ukweli kama kawaida yao. Kupitia mbunge wa nkenge, mwenyezi mungu kamsaidia Mch Msigwa kuthibitisha kuwa kule bukoba Pinda alipokelewa na magari zaidiya 60 kiasi kikubwa kuliko kile ambacho mchungaji alituhumu. Labda kwakuwa hakuna uwanja wa ndege maeneo mengi tungepata uthibitisho wa ndege pia.
Tatizo la kupeleka wachungaji bundeni badala ya kanisani. hapo hakuna kuhubiri kila ukisemacho ushahidi mkononi. Sioni mnacholalamika nyie watu.
 
Back
Top Bottom